KWA WAKATI HUU THE MULTI TALENTED PRODUCER AMBAYE PIA NI RAPPER CEO WA BLACK CURTAINS RECORDS, ANA PROJECT INAITWA KEEPING NGWAIR ALIVE, ITAKUA NI ALBUM YENYE NGOMA KADHAA, NA YEYE MSWAKI ANA RAP KWA KUTUMIA STYLE YA ALBERT MANGWEA, TAYARI AMESHA RELEASE NGOMA MBILI MOJAWAPO NI OPEN LATER NA NYINGINE INAITWA GHETTO AMEI RELEASE HIVI KARIBUNI
JE NGWEA ANGEKUA HAI ANGERAP KWA STYLE HIYO?
MSWAKI PIA AKAZUNGUMZIA MPANGO WAKE WA KWENDA KUPATA BARAKA ZA MAMA ALBERT, KABLA YA KUIFANYA PROJECT HIYO KWA UKUBWA ZAIDI
MSWAKI ANAONDOKA KESHO KUELEKEA MOROGORO KWA KINA NGWEA, SWALI JE, MSWAKI ATAKUBALIWA KUFANYA ANACHOKIFANYA KUTOKA KWA FAMILIA YA THE LATE ALBERT MANGWEA?
CREDIT : PERFECTTZ
No comments: