Showing posts with label Mahusiano. Show all posts
Showing posts with label Mahusiano. Show all posts

Tuesday, March 31, 2015

Wanawake/Wasichana wa Aina Hii ni Hatari Sana Kuwa Nao Kimapenzi

 

Hakikisha unawakwepa aina hii ya wanawake ili usijiingize kwenye matatizo. Nitakwambia ni kwa nini…..

1.Demu wako wa zamani
Ni vizuri kutorudia mahusiano ya zamani na zaidi kama kwenye mahusiano yenu ya mwanzo mambo hayakuishia kwa uzuri. Sababu kuu ya msingi, kiukweli ni kwamba hakika mwanzoni mlikuwa hamuendani na ndio sababu ya iliyopelekea kuvunjika kwa mahusiano yenu, ndani ya hizo sababu kuna vitu vilivyopolekea kutokea kwa hayo, ukichunguza na kuziangalia kwa makini utagundua ni za asili na ambazo si rahisi kwa mmoja wenu kuzibadilisha sababu ni vitu au mambo ambayo yatakuwa ni ya damuni.

2.Dada wa rafiki yako kipenzi
Epukana na kujiingiza kwenye mahusiano na dada wa rafiki yako. Si tu kwamba utaweza kujiingiza kwenye uhasama na chuki kama mambo hayatakwenda sawa, ila pia utaweza kujiweka kwenye mazingira ya kujikuta siku moja unapigwa hata ngumi za uso sababu tu ulimuumiza dada yake. Pia, utaweza kumkosa mtu ambaye ndie alikuwa ni kimbilio lako kwa mambo mbalimbali pale ambapo itatokea wewe na dada yake mambo kutokwenda sawa, sababu hapo patakuwa na mgongano wa kimaslahi kwa huyo rafiki yako.

3.Wanawake wenye mambo mengi
Kiukweli, kutoka na watu kama hawa kinaweza kuwa ni kitu cha kufurahisha, ila mwisho wa siku itakuingiza kwenye matatizo. Mara zote kumbuka ni vyema kuwa salama kuliko kujuta. Usijiingize kwenye majaribu ambayo utakuja kuyajutia kwa maisha yako yote.

4.Wanawake wanaopenda hela kupitiliza (Wachunaji)
Kuwa mbali nao, labda kama unataka salio lako limalizike pasipo wewe kujifahamu. Naamini hili kila mmoja analifahamu na halihitaji darasa zaidi. 

5.Demu wa zamani wa rafiki yako
Kama unathamini urafiki wako na mshikaji wako achana na habari ya kutoka na aliyekuwa demu wake. Mambo yanaweza kubadilika na kuwa kama au zaidi ya yaliyotokea kwa rafiki yako na ikaja kula kwako zaidi. Wakati mwengine inaweza tengeneza chuki kati yako na rafiki yako, huku akiamini kwamba ulikuwa unatoka au kumnyemelea demu wake toka zamani.

Wadau mademu wapo wengi sana, fanya kutafuta wengine nje ya hawa….. ni ushauri tu.
[Continue Reading]

Wednesday, December 3, 2014

Fahamu kwanini watu wengi hupoteza hamu ya kujamiiana..Soma Hapa


Katika utafiti uliofanyika miaka ya karibuni nchini Marekani, imebainika kwamba kati ya ndoa 6,000 zilizovunjika, asilimia 57 zimesababishwa na mwenza mmoja au wote kupenda kuchati au kutumia intaneti kupita kiasi na hivyo kusababisha msisimko kupotea kati ya wenza wawili na hatimaye mwisho ni kupungua uwezo au hamu ya kujamiana.


Ni kundi gani la wanawake lililo katika hatari ya kukumbwa na tatizo hili?

  1. Wanawake ambao wana historia ya kupungua hamu ya kujamiana
  2. Wale ambao wamefanyiwa upasuaji wa kuondoa mayai yao ya uzazi kutokana na sababu mbalimbali
  3. Wanawake waliofika umri wa kuacha kupata hedhi (miaka 42-58)) na kupata dalili mbalimbali kama kutokwa na jasho usiku, kukosa usingizi mzuri na msongo wa mawazo.

Kwa wanaume, visababishi vya tatizo la kupungua hamu au uwezo wa kujamiana ni kama ifuatavyo;

  1. Msongo wa mawazo kama nilivyoeleza hapo juu. Kupungua au kukosekana upendo/mapenzi katika uhusiano/ndoa.
  2. Unywaji pombe kupindukia kama nilivyoeleza awali.
  3. Utumiaji wa dawa za kulevya
  4. Uvutaji sigara - Hupunguza kiwango na uzito wa mbegu za kiume.
  5. Uzito wa mbegu za kiume hupungua kwa asilimia 22-57 kwa wale wanaovuta sigara. Uwezo wa mbegu za kiume kuogelea kwenye mirija ya uzazi ya mwanamke pia nao hupungua kwa asilimia 20 kwa wale wanaovuta sigara ikilinganishwa na wale wanaume wasiovuta sigara.
Utafiti mwingine umethibitisha kuwa wanaume wanaovuta sigara wana asilimia kubwa ya kutoa mbegu ambazo hazina maumbile mazuri au ya kawaida na hivyo kuongeza uwezekano wa mimba kutoka au kuzaa mtoto mwenye maumbile ambayo siyo ya kawaida.

Tafiti mbalimbali pia zimethibitisha kuwa uvutaji sigara huharibu mirija ya seminiferous tubules ambayo hupatikana kwenye korodani na ni sehemu ambapo mbegu za kiume hutengenezwa, hivyo uharibifu wake hupunguza wingi na uzito wa mbegu
Pia uvutaji sigara hupunguza vichocheo aina ya testerone, growth hormone, na vinginevyo.
Wanaume wenye kiwango kidogo cha testerone huwa na tatizo la kupungukiwa uwezo wa kujamiana na kiwango kidogo cha mbegu.

Uvutaji sigara hupunguza mzunguko wa damu unaopita/ kwenda kwenye moyo na kwenye uume na hivyo basi kumfanya mwanamume kushindwa kusimika na kupata tatizo la kupungua uwezo wa kujamiana.

Katika tafiti zilizofanyika, asilimia 97 ya wale waliogunduliwa na tatizo hili walikuwa wavutaji sigara na katika tafiti nyingine asilimia 87 ya wale wenye tatizo hili walikuwa pia wavutaji sigara.
Katika utafiti uliowahusisha wapenzi 290 mwaka 1999, ilionyesha kwamba wanaume ambao walikuwa wavutaji sigara walifanya tendo la ndoa na wake zao mara 6 tu kwa mwezi mzima na wale ambao hawakuwa wavutaji sigara walifanya tendo la ndoa mara mbili zaidi ya wale wavutaji sigara.

Uvutaji sigara, huhusishwa pia na kuongezeka kwa chembechembe nyeupe za damu kwenye mbegu za kiume ambazo kwa kawaida hutolewa kukiwa na ugonjwa ndani ya mwili.

Chembechembe hizi ambazo zinakuwapo kwa wingi kwenye mbegu za kiume pasipo na kuwapo kwa ugonjwa, hupunguza uwezo wa mbegu kuingia na kuungana na yai kutoka kwa mwanamke na hivyo kusababisha kutotunga kwa mimba.

1. Ugonjwa wa kisukari
2. Uzito uliopitiliza unaotokana na kuongezeka kwa mafuta ambayo husababisha mishipa ya damu inayopeleka damu kwenye moyo na uume kuwa midogo na kupungua uwezo wa kujamiana.
Kupungua uwezo wa kujamiana au kufanya mapenzi kwa wanaume ni ishara mojawapo ya ugonjwa wa moyo na kiharusi. Matatizo ya vichocheo katika tezi la koo

  • Kuwa na wasiwasi.
  • Kupenda mitandao ya kijamii kupita kiasi .
  • Umri - Kuanzia miaka ya 40, kiwango cha kichocheo aina ya prolactin huongezeka na kusababisha kuongezeka kwa kichocheo kingine aina ya dihydro-testerone ambacho husababisha tezi dume kuongezeka na hatimaye kupunguza uwezo wa kusisimka kwa mwanamume.
  • Madhara katika neva inayohusika na kusimika kwa uume
  • Kuendesha baiskeli muda mrefu (kwa kipindi kimoja) - Hii hugandamiza neva na mishipa ya damu inayopeleka damu kwenye uume na kusababisha tatizo la kupungua kwa nguvu za uume.
[Continue Reading]

Friday, October 24, 2014

Alichokisema Mtangazaji Salma Jabir Baada ya Kudaiwa Kutoka Kimapenzi na Director wake Hiki Hapa.





Kama utakuwa mfuatiliaji mzuri wa mitandao ya kijamii utakuwa uliwahi kukutana na picha ya mtangazaji na pia mwongozaji wa kipindi cha Mkasi Salama Jabir akimpiga busu mmoja kati ya director wa kipindi ca mkasi mwenzie na kupitia page yake ya Instagram alizungumza hya hapa


''Wapendwa naombeni twende sawa hapa kidogo,,,ile picha ya masinema ya mabusu,,nothing is serious ni katika vijimambo tu vya location,,and the lucky guy happened to be a brother Mr Josiah "Josh"Murunga ambaye ni producer na director wa MkasiTv! Who is married! so nothing serious!..its just a brother and sister love(bloodline)..Nafahamu wengi mnahamu ya kumjua Hubby ake,,,basi Inshallah siku ikifika mtamjua!''



[Continue Reading]

Saturday, May 31, 2014

Je una Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume? UFUMBUZI wake huu hapa

Ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume ni ile hali ya mwanaume kutokuwa na uwezo wa kukamilisha tendo la ndoa kwa ufasaha.
Tatizo hili linawakabili mamilioni ya wanaume duniani na limekuwa na athari nyingi kama vile kuvunjika kwa mahusiano na hata ndoa.
Mwanaume mwenye tatizo la ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume anakuwa hana uwezo wa kumtosheleza mwanamke kwenye tendo la ndoa.
KENDE DALILI ZA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME
Mwanaume anayekabiliwa na tatizo la ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume huonyesha dalili zifuatazo:- 
1. Kutokuwa na uwezo wa kusimamisha uume wake barabara. Kwa kawaida uume wa mwanaume aliyekamilika (rijali ) unaposimama, hutakiwa kuwa imara kama msumari, lakini kwa mwanaume anaye kabiliwa na tatizo hili uume wake hata ukisimama hubakia kuwa lege lege na huweza kusinyaa wakati wowote. Tatizo hili ni matokeo ya kulegea kwa mishipa ya uume. Mishipa ya uume ndio inayo ufanya uume usimame barabara.
Mishipa hii inapokuwa imelegea, uume hauwezi kusimama barabara hata iweje. Kulegea kwa mishipa ya kiume kunasababishwa na upigaji wa punyeto kwa muda mrefu. Mtu anaye piga punyeto anakuwa anaiminya mishipa inayo sababisha kusimama kwa uume, baada ya muda fulani, mishipa hiyo huishiwa nguvu na kulegea na hivyo linapo kuja suala la kusimamisha uume, mwanaume huyu anakuwa hana uwezo tena wa kusimamisha uume wake. Vilevile matumizi ya madawa makali (hususani madawa ya kizungu) ya kuongeza nguvu za kiume, husababisha mishipa ya uume kulegea. Hii ni kwa sababu madawa haya hui-overdose mishipa hiyo na kuilazimisha kufanya kazi zaidi ya kiwango chake.
Matumizi haya yanapokuwa ya muda mrefu humfanya muhusika kuwa tegemezi na pia hufanya mishipa ya uume wa muhusika kulegea na kukosa nguvu. 2. Kukosa hamu ya tendo la ndoa: Hapa mwanaume anakuwa hana uwezo wa kutamani kufanya tendo la ndoa hata anapokuwa faragha na mke wake. Tatizo hili kwa kiasi kikubwa husababishwa na msongo wa mawazo.
3. Kutokuwa na uwezo wa kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara moja. Hapa mwanaume akishakamilisha mshindo mmoja wa tendo la ndoa basi anakuwa hana tena uwezo wa kurudia mshindo mwingine. Hali hii husababishwa na kutokuwa na msukumo wa damu wa kutosha kwenye mishipa ya kwenye uume.
4. Kufika kileleni mapema
5. Kutokuwa na uwezo wa kusimamisha kabisa. Hali hii hutokea pindi tatizo la kutokuwepo kwa msukumo wa damu wa kutosha kwenye mishipa ya uume, linapokuwa limekomaa. Na wakati mwingine, hali hii hutokea pindi vyanzo zaidi ya kimoja vya tatizo la kiume vinapo kuwa vimejitokeza kwa mtu mmoja.
6. Uume kusinyaa na kurudi ndani. Hapa uume wa mwanaume unakuwa umesinyaa na kurudi ndani. Uume huu unakuwa hauna uwezo wa kukamilisha tendo la ndoa. Hali hii kwa kiasi kikubwa husababishwa na upigaji wa punyeto kwa muda mrefu pamoja na magonjwa hasa hasa chango la kiume au ngiri.
Tajwa hapo juu ni dalili kuu za tatizo la ukosefu ama/na upungufu wa nguvu za kiume.

CHANZO CHA TATIZO LA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME
Kwa ufupi sana, mambo yafuatayo ndio vyanzo vikuu vya tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume:-
i. Upigaji punyeto wa muda mrefu.
ii. Msongo wa mawazo.
iii. Ugonjwa wa kisukari na shinikizo la damu (pressure).
iv. Kupooza kwa mwili.
v. Kuugua ugonjwa wa ngiri.
vi. Kuugua chango la kiume.
vii. Ulevi uliokithiri.
viii. Kuwa na wasiwasi wa kumudu kutekeleza tendo la ndoa.
ix. Woga wa kufanya tendo la ndoa.
x. Uzoefu wa kukatisha tamaa wa siku za nyuma.
xi. Ulaji mbovu wa vyakula haswa vyenye mafuta mengi/kupita kiasi.
xii. Mazingira yasiyoridhisha wakati wa tendo la ndoa.
 ATHARI ZA UPUNGUFU / UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME
Kutokuwa na nguvu za kiume huleta madhara na athari nyingi sana kwa muhusika. Baadhi ya athari hizo ni pamoja na:-
  1. Kuvunjika kwa mahusiano ya kimapenzi.
  2. Kuvunjika kwa ndoa.
  3. Kujiua: Baadhi ya wanaume hufikia uamuzi wa kujiua baada ya tatizo kuwa kubwa na kutumia dawa za aina mbalimbali bila mafanikio.
  4. Upungufu wa nguvu za kiume huongeza chachu ya maambukizi ya V.V.U kwa wanandoa: Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume linapokuwa sugu, hupelekea rafiki wa kike/ mke wa mwanaume anaye sumbuliwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, kutoka nje ya ndoa kwa ajili ya kutimiziwa haja zake za kimwili, mwisho wa siku mwanamke huyo huweza kumletea magonjwa mume wake mwenye tatizo la upungufu wa nguvu za kiume pindi wanapokutana kimwili katika hali hiyo hiyo ya kutoridhishana.
  5. Ulevi kupita kiasi; Wakati mwingine wanaume wanao sumbuliwa na tatizo hili, huamua kuwa walevi kupita kiasi ili angalau kupunguza mawazo.
Kwa ufupi ukosefu/ upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo kubwa sana ambalo endapo halitatafutiwa ufumbuzi na muhusika linaweza kuyaathiri maisha ya muhusika kwa kiasi kikubwa sana.
TIBA ASILIA YA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME
Zipo dawa mbalimbali asilia zinazo weza kutibu na kumaliza kabisa tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume. Kati ya tiba hizo, tiba ya dawa asilia ya nguvu za kiume iitwayo “JIKO” imethibitika kuwa na uwezo wa kutibu na kumaliza kabisa tatizo la ukosefu/upungufu wa nguvu za kiume kwa zaidi ya ASILIMIA MIA MOJA (100%) KUHUSU DAWA YA JIKO
Dawa ya JIKO ni dawa ya a ilia (herbal) inayo tumika kutibu na kumaliza kabisa tatizo la nguvu za kiume pamoja na visababishi vya tatizo hii. Dawa hii haimalizi tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume pekee, bali pia inatibu visababishi ama vyanzo vyote vya tatizo la nguvu za kiume pamoja na side effects zitokanazo na baadhi ya visababishi vya tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume kama vile kujichua kwa muda mrefu.
Dawa hii ni mitishamba kabisa “pure herbal” ambayo haijachanganywa na kemikali yoyote na haina “side effects” kwa mtumiaji. Dawa hii hutibu na kumaliza kabisa tatizo la ukosefu/upungufu wa nguvu za kiume ndani ya siku thelathini (30).
MFUMO WA DAWA: Dawa ya JIKO ipo katika mfumo wa mizizi.
MATUMIZI YA DAWA: Dawa hii hutumika kwa kuchemshwa na kisha kunywa juisi yake mara mbili kwa siku asubuhi na jioni kwa muda wa siku thelathini. DOZI YA DAWA YA JIKO: Dozi ya dawa ya JIKO hutumika pamoja na vitu vikuu vitatu :
i. Korodani za beberu.
ii. Korodani za jogoo aliyekomaa.
iii. Unga wa Habbat Sawdah au Unga wa Mjafari au Unga wa Ngano (hapa kama utakosa unga wa Habbat Sawdah ama Unga wa Mjafari unaweza ukatumia unga wa ngano kama mbadala wake).
iv. Karanga mbichi.
 MATAYARISHO NA MATUMIZI YA DOZI YA DAWA YA JIKO
i. Dawa ya jiko yenyewe
Chukua dawa yako ya JIKO kisha iweke kwenye sufuria halafu ongeza lita mbili za maji halafu chemsha hadi dawa yako itakapo anza kutokota na kutoa supu. Ipua dawa yako na uihifadhi kwenye chupa ya chai (thermos ). Tumia kunywa vikombe viwili vya dawa yako mara mbili kwa siku, asubuhi na jioni. Utakunywa dawa yako ikiwa ya moto na sio ikiwa ya baridi. Kama itaingiwa na ubaridi kwa sababu moja au nyingine, unatakiwa kuipasha moto. Utafanya hivyo kwa muda wa siku thelathini.
N.B : JUISI YAKO IKIISHA, UTACHEMSHA KIASI KINGINE CHA DAWA NA KUFANYA KAMA HAPO JUU HADI ZITIMIE SIKU THELATHINI ii. KORODANI ZA MBUZI
Chukua korodani mbili za mbuzi. Zitie ndani ya lita mbili za maji na uchemshe kutengeneza supu . Supu yako ikiisha iva utatumia kula supu yako mara mbili kwa siku asubuhi na jioni. Hapa asubuhi utakula supu yako na kipande kimoja cha korodani na jioni utamaliza supu yako na kipande kingine cha korodani. Unaweza kuweka na pilipili mbuzi kwa ajili ya kuongeza ladha.
Utafanya hivi mara moja kwa wiki kwa wiki nne. Yaani utakula supu mara moja kwa wiki ya kwanza, wiki ya pili utakula supu yako tena, wiki ya tatu utakula supu yako na wiki ya nne utamalizia dozi yako.
HATA HIVYO KAMA UNA UWEZO NA NAFASI UNAWEZA KULA SUPU YAKO YA KORODANI ZA MBUZI KWA MUDA WA SIKU ZOTE THELATHINI ZA DOZI. UKIFANYA HIVI MATOKEA YATAKUWA MARADUFU ZAIDI.
VILEVILE HATA BAADA YA KUMALIZA DOZI YAKO UNAWEZA KUWA UNAKULA SUPU YA KORODANI ZA MBUZI KILA UTAKAPO PATA NAFASI YA KUFANYA HIVYO. iii. KORODANI ZA JOGOO

Unatakiwa kumeza korodani za Jogoo aliyekomaa zikiwa mbichi. Utameza nzima nzima zikiwa mbichi. Utazimeza pamoja na maji ya moto.
MATAYARISHO
Unatakiwa uwe na vitu vifuatavyo :
i. Jogoo aliyekomaa pamoja na kisu kikali ama mchinjaji wa jogoo.
ii. Unga wa Habbat Sawdah au
iii. Unga wa Mjafari au
iv. Unga wa Ngano.
v. Kisosi au ki-plate.
vi. Glasi mbili za maji ya uvuguvugu.
 JINSI YA KUFANYA
Chinja jogoo wako kisha mpasue kunyofoa korodani zake. Baada ya kupata korodani za jogoo, ziweke kwenye kisosi au kiplate chenye unga wa habbat sawdah au unga wa mjafari au unga wa ngano kisha viringisha korodani hizo za jogoo kwenye unga huo halafu meza korodani moja baada ya nyingine kwa glasi moja ya maji ya uvuguvugu.
Utafanya hivi mara moja ndani ya hizo siku thelathini za dozi. Unaweza kufanya siku ya kwanza tangu uanze dozi yako au unaweza kufanya katikati ya dozi au hata wakati unamaliza dozi.
N.B: KAMA UNA UWEZO NA NAFASI UNASHAURIWA KUMEZA KORODANI ZA JOGOO KWA WINGI KADRI UTAKAVYO WEZA. UTAPATA MATOKEO BORA ZAIDI. KORODANI ZA JOGOO PAMOJA NA DAWA YA JIKO ZITAKUSAIDIA KUWA NA UWEZO WA KURUDIA TENDO BILA KUCHOKA NA KUKAA KIFUANI KWA MUDA MREFU ZAIDI.
VYAKULA VYA KUTUMIA i. Unashauriwa kutumia kilo moja ya karanga mbichi kila wiki kwa muda wa wiki zote nne za dozi yako. Hii ina maana kuwa kwa wiki zote nne utatakiwa kutafuna kilo nne za karanga mbichi.
N.B : KAMA UTAWEZA KUTUMIA ZAIDI YA KIWANGO HICHO HAPO JUU, LITAKUWA NI JAMBO BORA ZAIDI
ii. Vile vile unatakiwa kula tikiti maji moja kwa wiki kwa muda wa wiki nne za dozi. Yaani wiki ya kwanza ule tikiti moja. Wiki ya pili tikiti moja. Wiki ya Tatu tikiti moja na wiki ya nne tikiti moja, jumla matikiti manne kwa mwezi. UNATAKIWA KUTAFUNA PAMOJA NA MBEGU ZAKE. KAZI INAYOFANYWA NA DAWA YA JIKO
Dawa ya JIKO inasadia katika mambo makuu yafuatayo:
i. Inasaidia kuimarisha mishipa ya uume ulio legea na hivyo kuufanya uume uwe na uwezo wa kusimama barabara kama msumari wakati wa tendo la ndoa.
ii. Inasaidia kusafisha mishipa ya kwenye uume na hivyo kusaidia katika kuongeza kasi ya msukumo wa damu kwenye mishipa ya kwenye uume.
iii. Husaidia kuongeza msukumo (pressure) wa damu kwenye mishipa ya uume na hivyo kuufanya uume kuwa na nguvu za ajabu.
iv. Husaidia ku-relax mind na hivyo kumfanya mtu awe na uwezo wa kuconcentrate wakati wa tendo la ndoa bila kuathiriwa na msongo wa mawazo.
v. Humfanya mwanaume awe na uwezo wa kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara moja bila kuchoka.
vi. Husaidia kuongeza hamu ya tendo la ndoa.
vii. Husaidia kuurudisha nje uume ulio ingia ndani.
viii. Husaidia kutibu side effects za punyeto na matumizi ya muda mrefu ya dawa kali za (za kizungu) za kuongeza nguvu za kiume.
ix. Husaidia kutibu chango la kiume.
x. Dawa hii huwasaidia hata wanawake wanao sumbuliwa na tatizo la ukosefu wa hamu ya tendo la ndoa.
 JINSI YA KUIPATA DAWA 
Unaweza kuja kuichukua ofisini kwetu au kwa wasio weza kufika ofisini kwetu tunatoa huduma ya kuwapelekea dawa mahali walipo.
DELIVERY 
WATEJA WA MIKOANI : Kwa wateja wa mikoani tunawatumia dawa kwa njia ya magari na wale wa Zanzibar tunawatumia dawa kwa njia ya meli.
WATEJA WA NCHI JIRANI : Kenya, Uganda, Rwanda & Burundi tunawatumia dawa kwa njia ya mabasi.
Kwa wateja wa nje ya Afrika : Kwa wateja wa nje ya Afrika tunawatumia dawa kwa njia ya posta au DHL.
Wateja wa SOUTH AFRIKA NA BOTSWANA
Kwa wateja wetu waliopo South Afrika na Botswana tunawatumia dawa kwa njia ya mabasi au posta.
MAWASILIANO

Wasiliana nasi kwa simu namba 0766538384
[Continue Reading]

Monday, May 26, 2014

JUA SABABU TANO ZA KUKAUKA KWA UKE WAKATI WA KUFANYA MAPENZI


Swala la kukauka kwa uke mara baada ya mwanake kufika kileleni ni la kwaida kwa wanawake wengi na huwa na sababu mbali mbali ambazo mimi nitakutajia kwa kifupi tu kamaifuatavyo:- 

Mwanamke huitaji kunyegeshwa tena baada ya bao lake la kwanza, inategemea lilipopatikana kama kwenye Kipele G, Kwenye Kisimi, Mwisho wa Uke au kuta za uke. Ikiwa amepata bao "via" kisimi hapo lazima atahiji muda kidogo wa kupumzika kama dakika kumi 5+ kisha wewe mpenzi wake ni wajibu wako kumnyegesha tena kwa kucheza na sehemu nyngine za mwili wake mbali na Kisimi. Inaweza kuwa kum-busu, kumla denda huku unamshika-mshika na kadhalika.
Mwanamke kuwa na uwezo mdogo wa kungonoka (low sex drive/libido) ni wazi kuwa hamjuani hivyo yawezekana yeye yuko hivyo na mara baada ya wewe kupiga bao la kwanza kisha kurudi na "kumpigisha" yeye bao lake ndio ilikuwa mwisho wa "game" mpaka kesho au labda wiki ijayo kama sio mwezi ujao. Kama ulihitaji tena kwenda basi ulitakiwa kumfaya aendelee kuwa "interested" kiakili nakimazingira zaidi ya kimwili na pia ungepaswa kutumia kilainisho kwa ajili ya Condom au hata K-Y Jel.
Mwanamke kutokuvutiwa na ufanyaji wako, kama ulivyosema kuwa ilikubidi uache nje-ndani, swala l a kungonoana ni pana na sio kusimamisha kisha kupiga nje-ndani mwanzo mpaka mwisho >>( Kuna wanawake kibao baada ya kibaruti cha kwanza inabidi uanze upya kuwatuliza a.k.a kuwa NYEGELESHA. Dawa yake kwa wengi usikazanie NJe ndani Nje ndani sana kama ushambarutisha tayari. Cheza sindimba au msondongoma katika mduara bila kuvuta filimbi nje wakati unaASALISHA mambo mengine! Baada yamuda kadhaa wakati unahisi au unasikia pumzi fulani ndio endeleza pupa kama navyohisi unafanya. Hii hasa kama unacheza mkao wa kimishenari ).<<
Mwanamke kutokuwa na mapenzi pia inaweza kuwa sababu ya Uke wake kuwa mkavu mara baada ya zile nyege mshindo kumalizika/kumtoka (baada ya yeye kufikia Mshindo), mwanamke kama hana mapenzi huishiwa hamu ya kuendelea kungonoka haraka sana mara tu baada ya bao lake la kwanza.
Kuchoka au Uvivu, mwanamke kama kachoka au mvivu hali hiyo ya ukavu ukeni hujitokeza kwa vile akili yake inakuwa haipo/haizingatii kilekinachofanyika bali saa ngapi atapata nafasi ya kwenda kulala/pumzika.
Condom huwa hazisababishi Uke kukauka tena japokuwa inashauriwa kubadili au kutumia kilainisho kilichotengenezwa kwa ajili hiyo. Makampuni mengi ya bidhaa hzi yanatoa mafuta maalum kabisa kwa ajili ya kukuongezea ile hali ya ulaini amabo unakulinda wewe kwa kuzuia Condom kupasuka/chanikakutokana na ukavu wa Uke na vilevile kumuongezea mwanamke raha ya tendo.
Condoms hazimsababishii mwanamke maumivu bali ile hali ya wewe kumfanya mwanamke mwenye uke mkavu kwa muda mrefu ndio inasababisha maumivu.Ili ufurahie Ngono basi ni vema ukatafuta mwanamke mmoja umpendae na yeye akupende na mfanye tendo kwa ushirikiana na kumbuka ku-focus kwenye kufurahia tendo zaidi kuliko kupiga mabao na mambo yatakuwa bomba kabisa.
[Continue Reading]

Thursday, May 15, 2014

MFIKISHE MPENZI WAKO KILELENI KWA KUFANYA HAYA


Kuna njia mbalimbali za kumuongezea wigo mwanamke kufika kileleni na kuna kitu kimoja wanawake wote husema, "Kufika kileleni huitaji utulivu wa akili na hisia!"
Kama ukimweka mwanamke kwenye mazingira mazuri kiakili na kihisia, kuna uwezekano mkubwa na mwili wake kufuata na kumfanya afike kileleni.

Japo wanawake wanatofautiana, tumejaribu kuongea na baadhi ya wanawake na wametumegea siri na kutupa njia nzuri ya kumfikisha kileleni mwanamke kwa haraka, japo ilikua mpaka tulipowapa baadhi ya siri zetu za kiume kidogo ndo wakalainika kutuambia...

Kama ukitaka kumfikisha kileleni kwa haraka, ni vizuri mwanamke ukamweka juu yako ili aweze kudhibiti kasi, msuguano na engo ya uume wako ndani yake, japo nawe unaweza kupata matamanio ya kumsaidia, ila ni vizuri ukamwacha  mwenyewe ili usije kumharibia kasi anayoitaka yeye na kuitumia.
Inabidi upambane na matamanio yako na uendelee kutulia na umsikilize anataka wewe ukaeje ili ajiongezee msisimko zaidi na kwa sasa inabidi uutulize mwili huku mikono yako ikishughurika na uitumie vizuri, unaweza kuwa unampapasa sehemu za makalio yake au nyuma ya kichwa chake sehemu za shingoni mpaka kisogoni kwa hali ya kimahaba, na kama umekaa wima utajiongezea pointi zaidi kwa kumbusu shingoni na kuongea maneno mazuri ya kimahaba na kumsifia kwa uzuri wake na sifa nyingine.
[Continue Reading]

FAHAMU SABABU 10 ZA WANAWAKE WENGI KUACHIKA MAPEMA SIKU HIZI


1) Kwanza kabisa ni wavivu kwenye swala zima la mahaba, eti wanadai wamechoka na mihangaiko akirudi nyumbani yeye anakula tu kisha analala, hapo ujue ndio haamki mpaka asubuhi akitaka kwenda kazini.

2) Hawajitumi, atakavyo kaa ndio hivyo hivyo mpaka mwisho wa mchezo, haangaiki wala hajihangaishi.

3) Akishapata tu kazi ndio balaa kabisa anakuwa busy na kujifanya amechoka kama anaumba watu.


4) Kama mume wake hajisikii yeye pia hajisikii, yani hawezi kumleta mumewe kwenye mood ya mapenzi hajisumbui kufanya utundu kwani nae anajiona yuko juu hana huo muda
5) Siku zote anasubilia yeye aanzwe , yeye kuanza hataki . Yani mpaka uanze kumchezea na kumuimbisha kama vile demu mpya kumbe mkeo.

6) Akipata pesa yeye hizo ni za kwake na matumizi yake tu binafsi, majukumu kwenye familia yeye hataki keshajitoa, pesa za mwanaume ndio zitumike hadi kumnunulia pedi zake.

7) Wanamaneno mengi hadi muda mwengine huwakosea heshima waume zao, mwanamke kuongea sana haipendezi. Mwengine ukimkuta anaongea na mume wake utafikiri anaongea na konda

8) Wanajali marafiki zako kuliko hata waume zao wa ndani

9) Mitandao ya kijamii inawaponza sana dada zetu, ndoa zina vunjika kila siku. Wala hakuna cha maana niumbea tu na kupost picha kila muda instagram na facebook. wewe umeshaolewa huko instagram unampostia nani,na  ili iweje.

10) Kuzurula, mwanadada unakuta anazurula utafikiri anashughuli ya maana, tena bora azurule na atoe taarifa anaenda wapi lakini walaa mwanamke anatembea kama dalali, mara magomeni, mara kinondoni mara mwananyamara mara sinza yani kama vile muuza urembo. mjirekebishe la sivyo mtaachika mpaka mkione cha moto.

[Continue Reading]

Sunday, May 11, 2014

WAKUBWA TU !!.. DARASA LA MAPENZI,USIKUBALI KUACHIKA UKIWA KWENYE UCHUMBA!


UJANA una mambo mengi lakini vijana wa zama hizi tumezidisha. Matukio ndani ya uhusiano ni mengi zaidi ya wakati uliopita. Kukutana na wanandoa wanaoachana baada ya miaka miwili tu ni jambo la kawaida siku hizi. 


Si ajabu tena kusikia msichana amechumbiwa na amevalishwa pete kabisa lakini baada ya siku kadhaa anaachwa. Hii ni aibu! Utakuta msichana hadi anaingia kwenye ndoa, ameshavaa pete za uchumba kutoka kwa wanaume hata wanne tofauti!
Ni mabadiliko mabaya lakini yanayosababishwa na mfumo mpya wa maisha ya sasa. Ndugu zangu, lazima tujifunze mambo muhimu ya kufanya ili uhusiano uwe wenye maana.
Vilio vya wasichana wengi ni kuhusu kuvalishwa pete au kudumu kwenye uchumba kwa muda mrefu, lakini ghafla mwanaume anamuacha na kuanzisha uhusiano na mwingine.
Hebu tujiulize; ni tamaa za wanaume hao au tatizo lipo kwa wanawake wenyewe? Dada zangu, naomba mfahamu kuwa, wakati mwingine ninyi ndiyo husababisha matatizo na hatimaye kuachwa.
Je, nini cha kufanya? Hapa nitakupa mambo muhimu ya kukaa nayo mbali ili uweze kuingia kwenye hatua inayofuata – ndoa. Karibuni darasani.
KAA MBALI NA WANAUME
Wapo ambao wamejikuta wakiachwa solemba kufuatia tabia zao za kuwa na mazoea ya kijinga na wanaume.
Yawezekana kabla ya kuchumbiwa, marafiki zako wakubwa walikuwa wanaume (Wapo wanawake wa aina hiyo).
Unachotakiwa kufahamu ni kwamba hakuna mwanaume anayefurahia ukaribu wa mchumba wake kwa wanaume wengine.
Hata kama hakuna uhusiano wa kimapenzi lakini epuka sana kujichekelesha kwao, kuongozana nao, kukaa nao au hata kuwasiliana nao. Ukifanya hivyo utakuwa unamkwaza mchumba wako na inaweza kuwa moja ya sababu za kukuchenga.
CHAGUA MARAFIKI
Kipindi cha uchumba ni wakati ambao msichana anatakiwa kuwa makini sana na marafiki, akae mbali na wale mapepe!
Nazungumzia wale micharuko ambao hawawezi kukushauri vizuri juu ya maisha yako. Hata wale ambao wamekuwa wakikushawishi kila wikiendi muende mkajirushe, baada ya kuchumbiwa unatakiwa kujiweka mbali nao ili kumpa amani mchumba wako.
PUNGUZA USICHANA
Ukishachumbiwa wewe si msichana tena, utakuwa ni mama mtarajiwa wa familia yako. Tabia za kisichana kama vile kuvaa mavazi yasiyo ya heshima, kukaa vijiweni kuongea mambo ya umbeya na nyinginezo kama hizo hutakiwi kuendelea kuwa nazo.
USIHAMIE KWAKE
Hili baadhi ya wanaume wanapenda sana lakini kwa usalama wa msichana si jambo zuri.
 Kuolewa ni mpaka pale mtakapoingia kanisani, msikitini, kwa viongozi wa kiserikali nk na kufungishwa ndoa.
Kama bado hamjafika huko, wewe bado ni mchumba tu na hata kwenye ndoa unaweza usifike.
Kwa maana hiyo hutakiwi kuhamia kwa mwanaume kama ambavyo baadhi wamekuwa wakifanya.
Unachotakiwa kufahamu ni kwamba kitendo cha wewe kuchumbiwa kisha kuamua kubeba virago vyako na kwenda kuishi na mwanaume ni kuwakosea wazazi wako.
[Continue Reading]

Saturday, May 10, 2014

MFAHAMU MPENZI ASIYE NA MAPENZI YA KWELI KWAKO HAPA!!!!

HIPS Don't LIE
Ifahamike kuwa hakuna asiyehitaji mapenzi ya kweli ingawa kuna wapenzi wanaothamini penzi kwa
mwenzi wake anapokuwa na pesa au kazi Fulani na baada ya hapo hujitoa katika mahusiano hayo hali
ambayo huleta kwikwi katika mtima wa moyo wa anayefahamu kupenda.
1…MUONGO.

Hakuna asiyefahamu athari za mtu muongo katika jamii, vivyo hivyo ndivyo ilivyo katika mapenzi uongo
ni sumu mbaya na nidalili moja wapo ya kuonyesha kuwa mpenzi wako hana penzi la dhati nawe na
huyo aweza kukuletea athari za kufikiri hapo baadae endapo hautakuwa makini nae.

Hivi utajisikiaje Mpenzi wako akigundua kuwa ulikuwa
ukimdanganya na hatimaye yeye akajua ukweli wa suala ulilokuwa ukimpiga fiksi? Lakini ushauri wangu si kumuacha bali jaribu kumshauri kwa hekima na
akiendelea na tabia hiyo ujue kuwa hana mapenzi ya kweli kwako.


2..KUPENDA SANA PESA.

Ukiona mpenzi wako wa kike ama kiume anapenda sana kupata pesa kutoka kwako tambua ni moja ya
dalili ambazo zinajieleza kuwa hana mpango nawe bali analazimika kuwa nawe kutokana na pesa ama
kipato chako.
Mpenzi wa namna hiyo ili kujihakikishia dalili hii siku
moja akikuomba pesa hata kama ameziona mwambie kuwa huna,hapo yupo tayari kuvunja hata
mahusiano kwasababu kitu muhimu kwake hajapata na wala wewe si muhimu tena kwake.

Nieleweke kuwa sisemi pesa ni mbaya katika mapenzi, la hasha bali pesa na mapenzi ni sawa na trafiki na kondakta katika mambo Fulani yale………ya kuchafua mifuko kwenye nguo nyeupe……………na ni
muhimu wapenzi mkapenda kupeana maarifa ya kufanya kazi halali ili kujipatia vipato kwa ajili ya kuepukana na hili.

3…HAJALI KUTOKUA PAMOJA NA WEWE.

Mpenzi anaye kupenda muda mwingi hutamani kuwa nawe karibu na inapotokea hamjaonana hata
masaa sita au matatu hujisikia shida ambapo kwa wengine hufikia kupiga simu na ukimuuliza
anasemaje atakuuliza maswali yaliyoshonana kama ushanga mara upo wapi? Umekula? Na upo na
nani? Na maswali mengi ya namna hiyo ili mradi moyo wake utulie.

Endapo Mpenzi wako mkiwa mbali naye kwa muda wa masaa mengi na yeye akaonyesha kuwa hakukosa
chochote kutokuwa nawe karibu ama kuwasiliana nawe basi ujue kuwa mpenzi huyo ni kimeo yaani
hana mapenzi ya dhati kwako.
4…ANAPENDA KUKUUDHI.
Dalili ya Nne ya mpenzi asiyekuwa na mapenzi ya dhati nawe ni yule anayependa kukuudhi mara kwa
mara kana kwamba anatafuta sababu ya kuachana nawe lakini anashindwa kutamka bayana kuwa haitaji tena kuwa nawe.

Maudhi hayana budi kutokea pale inapobidi kwa bahati mbaya sana na si kwa makusudi, lakini wapo
wapenzi wanaowaudhi wenzao kwa makusudi huku wakiendelea kusisitiza maudhi hayo kama utani
na kujua kwa makusudi kuwa anamuumiza mwenzi wake bila kuomba msamaha.

Ingawa kuomba msamaha ni kipaji na hasa katika
mfumo dume ambao unaonesha kuwa mwanaume anapoomba msamaha basi ujue katumia njia
nyingi za kumaliza tatizo hilo zimeshindikana hivyo kaomba msamaha kwa kulazimika sana na
kwa siri.
[Continue Reading]

ZIFAHAMU SABABU 5 ZINAZOSABABISHA UUME KUWA MDOGO (KIBAMIA)


Kundi kubwa la  wanaume  ambao  wanashindwa  kufurahia  tendo la  ndoa  kutokana na kuwa  na uume  mdogo  kupita  kawaida...

Wanaume  walio na tatizo  hili  wengi  wao huwa  hawana  confidence  ya   kuingia  katika  mahusiano  na  wasichana  ama  wanawake  wanao  fahamiana  nao  kutokana  na  kuogopa  " siri" zao  kujulikana  hususani  pale  uhusiano  wao  unapofika  mwisho..
Ikitokea  mwanaume  akiwa  katika  uhusiano  na  mwanamke "mcharuko" ( asiye  mstaarabu )  mwanamke huyo anaweza  kuanza  kumvua nguo  hadharani  kwa  kumtangazia    kwa  watu  kuwa  na  uume  mdogo ." Mwanaume  utakuwa  wewe!" na  lugha za  namna  hiyo hutawala  midomoni  mwa  wanawake  hawo....

Matokeo  yake  sasa  wanaume walio na  tatizo  hili  huamua  kutokuwa  na  uhusiano wa  kimapenzi na  wanawake  wanao fahamiana  nao, na  badala  yake  huamua kuanzisha   tabia  ya kuwa  wanajamiiana  na  wanawake  wanaouza  miili  yao  ama  kujihusisha  na  upigaji  punyeto n.k.

NINI  CHANZO  CHA  UUME  KUWA  MDOGO.

1. Kupiga  Punyeto  kwa  muda  mrefu..
Hali  hii  husababisha  kusinyaa  kwa  uume  na  hatimaye  uume  kurudi  ndani.
2. Kuugua chango  la  uzazi.
3. Magonjwa  ya utotoni.
4. Kutahiriwa  mapema  
5. Kurithi  kutoka  kwa  wazazi  :
Wanaume  wengine  wana  maumbile  madogo  kwa  sababu wamerithi  maumbile  hayo  
[Continue Reading]

Tuesday, March 18, 2014

HAYA NDIO MAMBO 10 YA KUYACHUNGUZA ILI KUMPATA MKE MWEMA AMA MWANAUME NI HIZI AMBAZO NI MUHIMU SANA.


WENGI wamejikuta wakiitwa wahuni kutokana na kuwa na uhusiano wa kimapenzi na makundi ya wanaume au wanawake.
Hata hivyo wachunguzi wa masuala ya mapenzi wanasema idadi kubwa ya wapenzi si kigezo sahihi cha kupima tabia ya mtu na kumhusisha na uhuni.

Watalaam hao wanataja safari ya kupata chaguo halisi la mwanaume/mwanamke wa

maisha ndiyo inayowaponza wengi kiasi cha kujikuta wameingia katika kashfa ya kuwa na uhusiano na dazeni ya wapenzi.

Wanasema msichana/mvulana anayeingia katika uwanja wa mapenzi kwa kuwa na hisia za kufanya ngono, hukosa umakini wa nani anafaa kuwa mpenzi wake kutokana na kukosa elimu ya uhusiano kutoka kwa wazazi wake.

Kwa mantiki hiyo, bila upembuzi wa kina, mtu asiye na elimu ya jinsi ya kumpata mpenzi wa kweli hujikuta ameangukia kwa mwanaume/mwanamke asiyemfaa, ambapo baadaye huamua kuachana na huyo na kwenda kwa mwingine kujaribu bahati tena ya kupata penzi la kweli.

Zinatajwa zawadi, hitaji la kusaidiwa kimaisha, mvuto wa kimahaba na mazoea kuwa ni vichocheo vinavyowaangusha wengi kwenye mapenzi na wasiowafaa.

Ukweli ni kwamba mtu aliyenaswa kwa ‘ujinga’, huwa hakatwi kiu ya penzi na mwanaume/mwanamke asiye chaguo sahihi la maisha yake. Hivyo hufikia maamuzi ya kujiingiza katika uhusiano mpya mara 2,3,4,5 na kujikuta wakiambulia wanaume/wanawake wale wale wasio sahihi kwake.

Mwanamnke mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Ramla aliwahi kuniomba ushauri, akasema amechoka kuchezewa, maana kila mwanaume anayempata anakuwa si chaguo lake. Lakini kibaya zaidi kuachia ngazi au kutemwa huku akiwa tayari ameshafanya mapenzi na wanaume hao. 

Na leo my best friend na mdau wangu mkubwa wa Blog hii Rayha ametaka kujua vigezo gani vya kuzingatia ili kumpata mume/mpenzi borana mwenye mapenzi ya kweli na ya dhati , hii ameiandika kwenye ukurasa wake wa facebook.

Nia ya swali lake ilikuwa ni kuniomba njia za kumtambua mwanaume mkweli bila kufanya naye mapenzi? Aliuliza hivyo huku akiwa na hoja kuwa wanaume wengi hawako tayari kuwa na uhusiano na msichana bila kufanya naye mapenzi na wakati huo huo huficha tabia zao chafu wakilenga kumnasa wamtakaye.

Binafsi nafahamu kuwa kuna wanawake/wanawake wengi ambao hujiingiza katika mapenzi kwa kutekwa na hadaa za mwili na kujikuta wanacheza mchezo wa kitoto wa pata potea. 

Ni madhumuni ya somo hili kufundisha vigezo vya kumpata mwanaume/mwanamke halisi wa maisha, bila kufanya naye mapenzi. Njia hii ina faida kwa pande zote mbili yaani kwa mwanamke na mwanaume kwani kuacha au kuachwa bila kufanya mapenzi ni bora kuliko kuwa muonjaji, tabia ambayo huathiri kisaikolojia na ni hatari kwa afya.

Ifuatavyo ni njia ya kisaikolojia ambayo mwanamke anaweza kutumia kumpata mwanaume mwenye kumfaa bila kufanya naye mapenzi tena ni jibu sahihi la kuondokana na mchezo wa kubahatisha kwa wanaume wanaosaka wapenzi wa kweli na si taksi bubu ambazo mchana huweka namba za njano usiku nyeusi.

KWANZA- Ni ya mwanamke/mwanaume mwenyewe kujifahamu na kufahamu vigezo vya mpenzi anayemhitaji katika maisha yake. Ifahamike kuwa kila mwanaume ana wake na kila mwanamke anaye wake wa maisha pia. Hivyo asiyekufaa wewe anawafaa wengine, kinachotakiwa ni wewe kujitambua kwanza ili umtambue umtakaye.

Wanawake/wanaume wengi hawafahamu wanahitaji wapenzi wa aina gani, hivyo wanajikuta kama watu wanaoingia sokoni bila kujua wanataka kununua nini? Ndiyo maana wengi wameangukia kwa matapeli wa mapenzi, wakachezewe na kuumizwa moyo bure.

PILI- Ni kuketi chini na kuorodhesha vigezo stahili vya mwanaume/mwanamke unayemtaka. Baada ya hapo orodhesha tena kasoro za mwanaume/mwanamke unazoweza kuzivumilia na zile ambazo huwezi kuzivumilia kabisa. Hii inatokana na ukweli kwamba mwanadamu hajakamilika, ana upungufu wake.

TATU- Anza kumsaka kwa kutumia milango ya fahamu. Cha kufanya hapa ni kuruhusu macho yawaone wanaume/wanawake na kuwatathmini kwa maumbile yao ya nje na kisha kupata majibu kutoka moyoni juu ya kuvutia kwao ambako hutambulika kwa moyo kurithika na mwili kusisimka.

NNE - Kuanzisha safari ya kuchunguza tabia za nje na za ndani kivitendo. Hapa suala la ukaribu baina ya mwanaume na mwanamke linahitajika. Msingi unaotajwa hapa ni kujenga mazoea ya kawaida yasiyokuwa na masuala ya kimapenzi na ngono. Kutambuana, dini, viwango vya elimu, kabila na makundi ya marafiki ni mambo ya kuzingatia.

Katika uchunguzi huu mwanamke/mwanaume anayetafuta mpenzi hana budi kupitia na kumlinganisha huyo aliyempata na vigezo alivyojiwekea. Zoezi hili liendane na kuweka alama ya pata kila anapobaini kuwa mwanaume/mwanamke anayemchunguza amepata moja ya vigezo vyake. Lakini pia aweke alama ya kosa kwa kila kasoro anayoivumilia na ile asiyoivumilia.
TANO - Ajipe muda wa kutosha kati ya miezi sita na mwaka kumchunguza huyo mwanaume, kisha aketi chini na aanze kujumlisha alama za vigezo alivyovijiwekea na jinsi mwanaume huyo alivyopata au kukosa.

Ikibainika mwanaume aliyechaguliwa amepata zaidi ya nusu ya alama ya vigezo vilivyowekwa, basi ujue kuwa anafaa. Kuhusu alama chache alizikosa anaweza kusaidia kuzikamilisha polepole wakati wa maisha ya ndoa.

Lakini angalizo kubwa kabisa ni kwamba mwanaume/mwanamke akionekana kuanguka katika kasoro zisizoweza kuvumilia kwa zaidi ya alama tatu. Yaani kwa mfano ni mlevi, mwizi, muongo, mbishi na katika hizo kashindwa 3, huyu hafai, ni vema akawekwa kando kwani huwezi kubeba kero 3 kwa pamoja katika maisha.

SITA - Kusajili mapenzi yenye malengo yanayotekelezeka. Lazima baada ya kuchunguzana kwa kina wapenzi watengeneze muongozo wa mapenzi yao. Wasiwe kama wanyama, lazima mipango ya wapi wametoka walipo na wanapokwenda.

Hata hivyo watalaam wanasema lazima wapenzi wapime umakini wao kwa vitendo. Kama wamekubaliana kuoana, suala la mume kwenda kujitambulisha kwa wakwe na hatua ya kuiendea ndoa ionekane. Usiri usiwepo tena. Kila mmoja amuone mwenzake kama sehemu ya maisha yake na mara zote wasaidiane kwa ukaribu.

SABA - Ni vema ndugu wakashirikishwa ili kuwapa nafasi na wao ya kuamua kama mapenzi hayo ni budi yakaendelea au yakasitishwa. Ni ukweli ulio wazi kwamba licha ya wengi kupuuza maamuzi ya ndugu kwa madai ya kuwa hawana nafasi kwa wapenda nao, lakini uchunguzi unaonesha kuwa wapenzi wengi huacha kutokana na sumu za ndugu hasa pale wanapokuwa wameonesha kutounga mkono uhusiano wa wanaotaka kuoana

NANE
 - Hatua hii ni ya kuweza kuzungumzia ufanyaji mapenzi, hapa nina maana kama wapenzi wamejizuia kwa muda mrefu na wanahisi kuchoka wanaweza kujadiliana kuhusu hilo na kuamua ufanyaji huo wa mapenzi una lengo gani, kama ni kuburudisha miili basi suala la afya na uzazi salama litazamwe.

TISA
 - Kutimizwa kwa ahadi ya kuoana ni hatua ya tisa ambayo nayo si busara ikachukua muda mwingi kutekelezeka, kwani ucheleweshaji mwingi wa ndoa nao huvunja moyo na mara nyingine umewafanya wengi kutoaminiana.

KUMI
 - Kuamua kuwa mwili mmoja kwa kuvumilia na kuwa tayari kukabiliana na changamoto zote za maisha ukiwemo mkwamo na dhiki ambazo huchangia sana ndoa nyingi kuvunjika.

Hapa pia ni wajibu wa wanandoa kuchukuliana udhaifu na kusaidia, kuwa tayari kujifunza na kujali zaidi upendo kuliko hisia za mwili ambazo wakati mwingine hudanganya na hivyo kumfanya mwanandoa asivutiwe na mwenzake.

Mwisho ni kwamba kanuni hizi huwafaa watu wazima mapenzi ya kitoto hayawezi kujenga misingi hii imara mara nyingi ni kudanganyana, kuharibiana maisha, kupeana mimba na maradhi. 
[Continue Reading]

Wednesday, March 12, 2014

DALILI ZA MWANAUME ANAYEKUPENDA KWA DHATI

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgoiDUYgrv1aETSn7PpaqP7bkg5szbCIAVJInISEew8xPB6vsPV7b0ZfNINm9DLDQ_OpJjxKJp690dUOURMCzz765EHcPgMDM66MFi260qO4hQDLy-2c4q7HYSfux2x7w5nxYvfAyOjD7c/s1600/love+matters1.jpg
ANAVYOKUTAZAMA
Mwanasaikolojia Zick Rubin kutoka Chuo cha Havard nchini Marekani aliwahi kusema kwamba watu wanaopendana hutumia asilimia 75 kutazamana kuliko wasiopendana, ambao kiwango chao ni asilimia 30-50. 

Hii ina maana kwamba mwanaume anapotumia muda wake mwingi kumtazama msichana na kugeuka taratibu kuangalia vitu vingine kama mtu asiyependa kuacha kumwangalia, ujue anampenda.

MIPANGO 
Mwanaume anayekupenda atakushirikisha kwenye mipango yake hasa ya muda mrefu. Mfano akitaka kununua kiwanja, kujenga nyumba atakuambia na pengine kutaka mchango wako wa hali na mali katika kulifanikisha hilo. Ukiona mwanaume anakuficha mambo yake, tambua kuwa huyo ana walakini kwenye penzi la dhati na la muda mrefu.

ATAONESHA HUZUNI
Katika maisha ya mapenzi kuna wakati wa kuhuzunika. Mwanaume mwenye upendo wa dhati atashirikiana nawe wakati wa huzuni na kuwa mstari wa mbele kuhakikisha kuwa unapata furaha. 





ATAKUAMINI
Dalili nyingine ya kupendwa na mwanaume ni kuaminiwa kwenye maisha kwa ujumla. Yaani mwanaume anayekupenda hatakuficha kitu, mfano pesa zake, atakupa uhuru kwenye simu yake na kukuamini katika usimamizi wa miradi yake.

ATAKUPA NAFASI
Ninapozungumzia nafasi nina maana atakukaribisha kwake bila hofu na kukupa nafasi ya kuingia na kutoka bila mipaka, atakupa nafasi ya kuweka vitu vyako kwenye kabati na kuruhusu nguo, picha na vitu vyako kuonekana wakati wote chumbani kwake.

UTAKUWA MWANAFAMILIA
Mwanaume aliyefikia chaguo la mwisho kwa mwanamke humshirikisha mpenzi wake kwenye masuala yake ya kifamilia, mfano atamwalika kwenye vikao vya harusi, kipaimara, atatoa nafasi ya kuambatana naye kuona wagonjwa, kusalimia ndugu na atakuwa huru kukutambulisha kwao.

ATAZUNGUMZA NAWE KUHUSU WATOTO
Kwa kuwa wanaume wengi hufikiria kuwa na familia, mwanaume anayekupenda atazungumza nawe mipango ya kupata watoto kwa kuwa atakuwa amekuchagua wewe kuwa mama wa wanaye na atapenda mazungumzo hayo.

ATAKUSAIDIA
Kwa kuwa kukwama ni sehemu ya maisha yetu, mwanaume anayekupenda atakuwa tayari kukusaidia unapokwama. Kila mara atahakikisha kuwa unakuwa na mafanikio na yeye atakuwa tayari kukupunguzia usumbufu wa maisha, kwa kukufuata kazini, kukusaidia baadhi ya mambo na hata ya nyumbani.

ATAJITOLEA
Ninaposema kujitolea ninamaanisha atakuwa tayari kufanya mambo yako na kuyaweka yake nyuma. Kwa mfano akiwa anapenda mpira na siku hiyo kuna mechi, lakini muda huo ukamwambia akufuate kwa mjomba wako atakuwa tayari kuacha furaha yake na kukujali wewe. Huyu ni mwanaume anayekupenda kwa dhati.

ATAAMBATANA NAWE
Wapenzi wengi wasiokuwa na mapenzi ya dhati huona aibu kuambatana na wapenzi wao kwenye mikusanyiko ya watu, lakini mwanaume anayekupenda atafurahia kutoka moyoni kuongozana nawe kwenye halaiki ya watu na kufurahia uwepo wako bila kuona aibu.

KAMA UMEIPENDA MADA NA KUKUSAIDIA, TUPIA BASI LIKE NIKUPAKULIE NYINGINE!!!!
- See more at: http://www.mdadisi.com/2014/03/dalili-za-mwanaume-anayekupenda-kwa.html#sthash.hrRTZx9T.dpuf
[Continue Reading]
Powered By Blogger · Designed By Seo Blogger Templates