Katika kudadavua na kupekenyua tumeweza kukutana na CD za ngono tena zilizofanywa na vijana wetu wa kitanzania bila kujali maadili ya nchi yetu vijana wamethubutu kuingia location na kufanya mkanda wa ngono na kuingiza mtaani na kuuza bila kuogopa maadili ya nchi yetu
Jina la kampuni hiyo kama unavyoanza mkanda unasomeka VIDEO ENTERTAIMENT inawaletea bongosex from tz bila uoga wanachafua jina la nchi yetu
Hii Aibu sasa bongo tumefikia kufanya filamu za ngono bila kujali magonjwa
Endelea kufatilia kwani hivi karibuni tutaweka video hii chafu iliyofanywa na wabongo
Ni upopompo mtupu hasa ndo nn hyo?
ReplyDelete