Vita,Njaa,Maradhi na Umaskini ni vitu vibaya sana kwenye Maisha ya
Mwanadamu,Vitu hivi vimepelekea binadamu wa leo kubadilika na kujikuta
wakifanya mambo kinyume na maadili na ata mafundisho kutoka kwenye Dini
zetu na ata wengine kuvumbia vile ambavyo leo vinawasaidia katika
maisha..Napenda kuzungumzia hili kwa leo baada ya kuona kitu
kilichonivutia na ata kunistaabisha.wakati mwengine unaweza kujikuta
unacheka hii ni baada ya jamaa kuamua kubadilisha matumizi ya kitu
fulani kwenda kwenye matumizi mengine...Jamaa aamua kuponda ponda chupa
mbili kubwa za maji ya plastiki kisha kufunga kamba kwa mbele kwenye
mdomo wa chupa mpaka sehemu mbili za nyuma mfano wa kandambili kisha
kuzivaa...unaweza kuona ni kitu cha ajabu ila ujue shida inakufanya
ufikilie mbali zaidi
UNAWEZA KUSHARE NA WASHIKAJI PIA WAFAHAMU ATA PLASTIKI ZA MAJI ZINAFAA KWA MATUMIZI YA KANDAMBILI
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
No comments: