Wednesday, August 14, 2013

MADIVA WATANO WA BONGO MOVIE AMBAO HAWATAMSAHAU MAREHEMU KANUMBA

Ukizungumzia tasnia ya filamu tanzania huta sita kutaja majina ya mastaa hawa, Mama wa dunia wema sepetu, jackline wolper gambe, Elizabeth michael lulu, ant Ezekiel na irine uwoya Oprah..
Madiva hawa wa bongo muvi wameendelea kusumbua tv screan, hedlines zamagazeti, na dvd player za wakazi kibao tanzania na afrika mashariki kiujumla.
Story zote mjini ni matokeo ya kazi nzuri ya maerehemu KING WA BONGO MOVIE INDUSTRY, THE GREAT STEVEN CHARLES KANUMBA.(R.I.P). kitu ambacho kinapelekea madiva hawa kumkumbuka milele katika maisha yao kwa kile walichokisema kuwa kanumba ndio chanzo cha mafanikio yao leo hii.

HIZI NI BAADHI YA MUVI KALI WALIZOWAHI KUFANYA NA MAREHEMU STEVEN.
 





No comments:

Speak Your Mind

Powered By Blogger · Designed By Seo Blogger Templates