Thursday, May 30, 2013

PICHA ZA MAMA LULU, MAMA KANUMBA, LULU NA WENGINE WAKIFANYA SHEREHE YA PAMOJA

mama lulu na mama Kanumba wakicheza
kwa pamoja
lulu akicheza na mama zake
dada yenu katikati
happy people
tunakula bata mpaka kuku anaona wivu
Dj anayeongoza kukesha na kula bata mjini
tehetehee 


hatuandiki mengi bado tupo katika maombolezo, tunasubiri updates  kutoka SA za kuaminika na sio blogs nyingine kutaka waweke story wa kwanza kumbe wana post utumbo.

semkyu

No comments:

Speak Your Mind

Powered By Blogger · Designed By Seo Blogger Templates