BREAKING NEWZZ.....ASKARI WAWILI WAUWAWA NA MAJAMBAZI HUKO KONGOWE
Askari wawili wameuawa jana jioni na majambazi huko Kongowe, nje kidogo ya Jiji la Dar
-
Inadaiwa mmoja wa majambazi hao alikuwa na panga ndo akampiga askari
aliyekuwa na silaha panga la kisogoni askari akazimia na huyo jambazi
kuchukua hiyo silaha akafanya mauaji hayo ya askari wawili
No comments: