
Stori: Deogratius Mongela NGULI wa
sinema za Komedi Bongo, Amri Athuman ‘Majuto’ amefunguka kuwa, mastaa
wengi wa kike wamemgeuza babu yao kwa kumfanyia vituko kila wanapokutana
naye.
Akitema
mbili tatu na paparazi wetu baada ya kusambazwa kwa picha mtandaoni
inayomuonesha akifanyiwa vituko na staa mwenzake, Kajala Masanja, Mzee
Majuto alisema watu wasimfikirie ndivyo sivyo kwani yeye wasanii wengi
wa kike wamemgeuza babu yao.

No comments: