Timu ya Manchester Utd ya Nchini Uingereza yenye maskani yake katika Jiji la Manchester imemaliza uvumi uliokuwa umeenea juu ya Mchezaji Juan Mata raia wa Spain aliyekuwa mchezaji wa timu ya Cheslea ya nchini Uingereza yenye maskani yake Jijini London.
Man Utd waliweza kumsani mchezaji kwa kitita cha £37.1million
Mchezaji Juan Mata baada ya kusaini anaweza kukumbana na wakati mgumu juu ya Namba atayovaa kwenye jezi yake na hii ni List juu ya wachezaji waliowahi kupitia katika timu ya Manchester waliokuwa wakivaa jezi Namba 7,8 na 9 ambazo ameambiwa achague kama ataitaji
Jezi namba 7 hapo nyuma iliwahi kuvaliwa na
George Best
Eric Cantona
David Beckham
Christiano Ronaldo
Jezi namba 8 hapo nyuma iliwahi kuvaliwa na
Brian Kidd
Paul Ince
Nick Butt
Wayne Rooney kabla ya kubadilishiwa na kupewa jezi namba 10
Jezi namba 9 hapo nyuma iliwahi kuvaliwa na
Sir Bobby Charlton
Andy Cole
Dimitar Berbatov
Unaweza kutoa Maoni yako Juu ya Namba itayomfaa Mchezaji huyo
No comments: