Ile huduma anayotoa mtumishi Masanja Mkandamizaji kwa sasa ya kukemea,kuondosha machafu,mikosi nk.hivi karibuni mtumishi alifanya maombi ya nguvu kwa msanii Petman Wakuache kama anavyojulikana.
hiyo ndio hali halisi kwa sasa Masanja Mkandamizaji anatoa huduma za kiroho kama unavyomuona hapo
picha kutoka instagram petitman_wakuache
No comments: